TANGAZO

ILI KUPATA TAARIFA ZA UHAKIKA KUHUSU MATANGAZO YA KAZI ZA MAENDELEO YA JAMII TEMBELEA BLOG HII KILA MARA Propellerads

Sunday, 4 January 2015

AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II







HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (W) Ulanga anawatangazia wananchi wote walio na sifa kwamba nafasi za kazi kama ifuatavyo.

NAFASI; Afisa Maendeleo Ya Jamii Msaidizi Daraja La II
SIFA

• Kidato cha Nne au sita
• Wenye cheti cha mafunzo ya miaka miwili katika fani ya maendeleo ya jamii kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali

KAZI ZA KUFANYA

• Kuratibu shughuli zote za maendeleo ya jamii kwa kuzingatia jinsia
• Kuhamasisha kuondokana na mila potofu
• Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya watoto

MSHAHARA; Kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi

Qualifications: wenye cheti cha mafunzo ya miaka miwili katika fani ya maendeleo ya jamii kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali

Experience:NONE

APPLICATION INSTRUCTIONS:


MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
• Awe ni raia wa Tanzania
• Awe na umri wa miaka 18-41
• Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
• Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
• Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
• CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA

No comments:

Post a Comment